Genesis 48:1

Manase Na Efraimu

1Baada ya muda Yusufu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye.
Copyright information for SwhKC